#BREAKING
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-03-07
Просмотров: 2646
Описание:
Lori lilokuwa limebeba mzigo wa chakula cha kuku, limepinduka maeneo ya Mbagala Msikitini jijini Dar es Salaam ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, watu watatu wamejeruhiwa.
ITV Digital imeshuhudia gari hilo lenye kichwa chenye namba za usajili T 415 EJY na Tela lenye namba T 531 EJD likiwa limepinduka juu chini.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa, gari hilo lilikuwa mwendokasi na kumshinda dereva na kujikuta likipinduka.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: