ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | FUNGUA MALANGO

Автор: Uinjilisti Kijitonyama Choir

Загружено: 2024-09-22

Просмотров: 111884

Описание: FUNGUA MALANGO YA MBINGUNI, ni wimbo ambao unatukumbusha kuhusu Baraka za Mungu juu ya maisha yetu, na kwamba baraka zake ni ahadi kwetu, na ambazo ni za kujaa na kusukwa sukwa.

Lakini kuambatana na baraka hizi tunahitaji kumfuata huyu Mungu, Simba wa Yuda, na kuachana na shetani na mambo yake yote.

Wimbo huu ulirekodiwa LIVE katika ibada ya Siku Ya Mbingu Kujaa Sifa msimu wa 4, mwaka 2023.

Karibu ushiriki baraka hizi nasi, na kumsifu Mungu wetu.

Ujube wa wimbo (Mashairi / Lyrics)

Solo - Mungu umeahidi Baraka kwa kipimo cha kujaa na
Wote - kusukwa sukwa na kumwagika
Solo - Mungu umeahidi utajiri kwa kipimo cha kujaa na
Wote - Kusukwa sukwa na kumwagika
Solo - Mungu umeahidi upendo kwa kipimo cha kujaa na
Wote - kusukwa sukwa na kumwagika
Solo - Mungu umeahidi furaha kwa kipimo cha kujaa na
Wote - kusukwa sukwa na kumwagika

Solo-Baba fungua
Wote-Fungua malango ya mbinguni (Mvua inyeshe)
inyeshe mvua ya Baraka x4

(Niende wapi,wapi)
Maana kwako kuna maneno ya uzima
Ninang’ang’ana- kwa Yesu(ng’ang’ana) kwa Yesu
mimi siondoki- kwa Yesu(ng’ang’ana) kwa Yesu
iwe jua iwe mvua- kwa Yesu(ng’ang’ana) kwa Yesu
alee hatuondoki- kwa Yesu(ng’ang’ana) kwa Yesu

Solo -Huyu shetani x2
Hapendeki huyoo,achana nae huyo
(ukimpenda ) ni shida(ukimuamini) ni shida
(Ukimkubali)ni shida(ukimfuata) ni shida
(Amua leo)achana nae achana nae huyo x2

Solo - Simba wa Yuda wa Yuda
Ni Upendo huyo mfuate huyo Yesu x2
(Ukimpenda) Ni pendo (Ukimuamini) Ni Pendo
(Ukimfuata) ni Pendo (Ukimkubali) Ni Pendo3
(Amua leo) Mfuate huyo,mfuate huyo Yesu x2

(Bass- Niende wapi,wapi) - Maana kwako kuna maneno ya uzima

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | FUNGUA MALANGO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | REJOICE

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | REJOICE

Джем – KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | FUNGUA MALANGO

Джем – KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | FUNGUA MALANGO

13 January 2026

13 January 2026

СМОТРИТЕ, ЧТО ТОЛЬКО ЧТО ПРОИЗОШЛО в Иерусалиме! Мир в ШОКЕ! Иисус возвращается?

СМОТРИТЕ, ЧТО ТОЛЬКО ЧТО ПРОИЗОШЛО в Иерусалиме! Мир в ШОКЕ! Иисус возвращается?

Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )

Ufunuo Choir - Usisahau ( Live Performance )

Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama : Come and See (Live Perfomance)

Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama : Come and See (Live Perfomance)

Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama - Jemedari

Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama - Jemedari

Israel Mbonyi - Nitaamini

Israel Mbonyi - Nitaamini

Обнови свою силу Божьим путём | Joseph Prince | New Creation TV русский

Обнови свою силу Божьим путём | Joseph Prince | New Creation TV русский

KKKT Usharika Choir ft Dayana - Tulikotoka Tumekuona (Official Live video)

KKKT Usharika Choir ft Dayana - Tulikotoka Tumekuona (Official Live video)

Mungu Anakupenda (Cover) by Upendo Choir

Mungu Anakupenda (Cover) by Upendo Choir

Sitanyamaza - Joel Didas Live Perfomance at Mito ya Baraka Church

Sitanyamaza - Joel Didas Live Perfomance at Mito ya Baraka Church

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | REHOBOTH

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | REHOBOTH

Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship

Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship

Twaokolewa kwa Neema - Kijitonyama

Twaokolewa kwa Neema - Kijitonyama

I Have Decided to Follow Jesus – No Turning Back (Worship Hymn)

I Have Decided to Follow Jesus – No Turning Back (Worship Hymn)

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | JEHOVA BABA WA UPENDO

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | JEHOVA BABA WA UPENDO

JINA LA YESU (Live)- Kijitonyama Youth Choir || Worship in Spirit

JINA LA YESU (Live)- Kijitonyama Youth Choir || Worship in Spirit

Upendo choir – Nitamuhimidi Bwana (live music video)

Upendo choir – Nitamuhimidi Bwana (live music video)

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | NABURUDIKA

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | NABURUDIKA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]