SHILINGI MILIONI 100 ZATENGWA kwa AJILI ya WALIMU WANAOJITOLEA HALMASHAURI ya MBINGA....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 303
Описание:
SHILINGI MILIONI 100 ZATENGWA kwa AJILI ya WALIMU WANAOJITOLEA HALMASHAURI ya MBINGA....
@ROSEMARY JOSEPH - RUVUMA
CC; BAKARI MAHUNDU
Halmashauri ya wilaya ya Mbinga imetenga kiasi cha shilingi milioni mia moja kwa ajili ya kuajiri walimu wa muda wa kujitolea, hatua inayolenga kupunguza upungufu wa walimu na kuimarisha maendeleo ya elimu katika halmashauri hiyo. Uamuzi huo ni sehemu ya mikakati ya kuboresha sekta ya elimu na kuongeza kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi katika shule mbalimbali za msingi na sekondari.
Hayo yamebainika mara baada ya uwasilishwaji wa Ilani katika mkutano wa halmashauri kuu ya ccm wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Mbinga DC Mall uliopo halmashauri ya mbinga mji wilayani Mbinga
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: