VILIO TENA MONDULI! WANANCHI WALIA KUCHUKULIIWA MAENEO YAO BILA FIDIA, WAMUANGUKIA RAIS SAMIA..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-06-20
Просмотров: 405
Описание:
VILIO TENA MONDULI! WANANCHI WALIA KUCHUKULIIWA MAENEO YAO BILA FIDIA, WAMUANGUKIA RAIS SAMIA...
Wakulima na wafugaji zaidi ya 120 kutoka Kijiji cha Lolkisale Wilaya ya Monduli mkoani Arusha wamemwomba Rais Dk Samia Suluhu Hassani kuwasaidia kulipwa fidia baada ya mashamba yao ekari 47,000 mwaka 2003 Serikali kubadilisha matumizi ya kilimo na ufugaji jeshini.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Arusha, katibu wa wakulima hao aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Ngaluko alisema kuwa wana hati ya ardhi ya umiliki wa mashamba hayo iliyotolewa mwaka 1990 na Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na wana nyaraka za nakala za barua zinazoonesha wanapaswa kulipwa fidia baada ya Serikali kubadilisha matumizi ya ardhi hiyo.
Ngaluko alisema kuwa wanaamini kuwa Rais ana hofu ya Mungu na mpenda haki na kamwe hapendi serikali yake kudhurumu wananchi wake kwani hadi sasa ni zaidi ya miaka 20 wakulima hao wanaisaka fidia serikalini na kibaya zaidi na cha kusikitisha wakulima zaidi ya 20 wametangulia mbele ya haki{wamekufa] huku wakihangaika kusaka fidia hiyo.
Alisema kwa muda wote waliokuwa wakihangaika kasaka haki yao hawajawahi kukosa kuingia katika ofisi zote za serikali kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na wizarani na ofisi zote wamekiri wanastahili kulipwa fidia kwa kuwa Serikali ndiyo ilitwaa ardhi yao na kubadilisha matumizi, lakini utekelezaji wa fidia hiyo ndio umekuwa danadana hadi sasa...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: