Baba Masogange Alikiona Kifo cha Mwanae, Aelezea Alivyomuaga 'Bye Bye Baba'
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-04-23
Просмотров: 34207
Описание:
Baba Masogange Alikiona Kifo cha Mwanae, Aelezea Alivyomuaga 'Bye Bye Baba'
Baba Mzazi wa msanii Agness Gerald ‘Masogange’ , Mzee Gerald Waya, amesimulia jinsi alivyokiona kifo cha mwanae kwani siku moja kabla aliota magari mengi yamejaa nyumbani kwake na ndio hasa kilichotokea kwenye mazishi ya mwanae.
Aidha Baba Masogange amesema mwanae alimpiia simu siku ya Jumapili kuwa anaumwa na kusema kuwa anabanwa maeneo ya mbavuni, ambapo alimshauri aende hospitali na siku iliyofuatia akampigia tena kuwa amelazwa na ameongezewa damu, na siku ya mwisho ambayo Masogange aliaga dunia, alimpigia tena na kumuaga kwa kumwambia neno 'Bye Bye Baba'.
MAMIA ya wananchi wakazi wa Utengule, Mbalizi na maeneo ya karibu wamejitokeza kuungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki na wasanii kuupokea mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ ambao umewasili kijijini kwao kwa ajili ya mazishi
Mwili wa marehemu umewasili kijijini hapo na kuzikwa baada ya jana kuagwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.
Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma kilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao kuzikwa.
Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS:http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visithttps://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Category
News & Politics
License
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: