Ni Nani Hawa by Deo Kalolela
Автор: Mike King'oo
Загружено: 2022-02-16
Просмотров: 6285
Описание:
Wimbo-Ni nani hawa
Mtunzi-Deo Kalolela
Organist-Mike King'oo
Maneno Ya Wimbo
(Ni nani hawa watembeao kwa furaha (wote pamoja) wakiijongea Altare yake Mungu ni wateule wake Bwana walio alikwa kwa karamu)×2
1. Yakupasa ujiulize, ndugu unakikwazo gani, kinacho kufanya uiogope meza ya Bwana.
2. Hebu watazame wenzako, wanavyo kwenda kwa furaha, wakiijongea meza ya Bwana kwa karamu.
3. Bwana Yesu ameutwaa, mwili wake kama chakula, na damu yake kaitoa kwetu kama kinywaji.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: