Upinzani walaumu serikali kwa uvamizi wa mikutano yao kisiasa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 3322
Описание: Viongozi wa upinzani sasa wanailaumu serikali kwa ghasia zinazoshuhudiwa kwenye mikutano ya kisiasa, zilizosababisha kuuawa kwa mtu mmoja katika kaunti ya Kakamega hapo jana. Wakiongoziwa na Kalonzo Musyoka na Rigathi Gachagua, wanasiasa hawa wamemtaka rais William Ruto na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kuwajibikia ghasia hizo kwenye mikutano yao ya kisiasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: