Miili ya ndugu wawili waliotoweka yapatikana katika chumba cha kuhifadhi maiti Embu
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2021-08-04
Просмотров: 13628
Описание:
Harakati za familia moja kuwatafuta ndugu wawili wa Embu waliokuwa wametoweka zimeishia msiba baada ya miili yao kupatikana katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Embu. Inadaiwa vijana hao wa umri wa miaka 22 na 19 walitiwa mbaroni na polisi Jumapili kwa kosa la kukiuka kanuni za kafyu.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: