Carrick Apewe Mkataba wa Kudumu? Mfupa Uliowashinda Vigogo, Carrick Ameuwezaje? Redverse Podcast
Автор: United Redverse
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 1373
Описание:
Kwenye episode hii ya Redverse Podcast, tunajadili kwa kina safari ya Michael Carrick ndani ya Manchester United F.C. na swali kubwa linalogawanya mashabiki — apewe kazi rasmi au bado ni mapema? Pamoja na Oscar Nkembo, tunachambua “mfupa” uliowashinda makocha wakubwa waliopita, mabadiliko ya kimfumo aliyoyaleta Carrick, na kama kweli United ya sasa ina identity ya kudumu au ni momentum ya muda tu.
Toa maoni yako 👇
👉 Carrick apewe mkataba wa kudumu?
👉 Ni kitu gani ameleta tofauti kuliko waliomtangulia?
🔴 CLICK HERE TO SUBSCRIBE:
👉 / @unitedredverse
⸻
📱 Follow United Redverse kwenye mitandao yote:
👉 Instagram: / unitedredverse
👉 TikTok: / unitedredverse
👉 X (Twitter): https://x.com/unitedredverse
👉 Facebook: / unitedredverse
⸻
✨ Reginex Regulatory Consulting
Je, unahitaji msaada wa kitaalamu katika usajili wa dawa au vifaa tiba? Reginex Regulatory Consulting hutoa huduma za Regulatory Affairs, Product Registration, Pharmacovigilance, Auditing & Compliance, Medical Writing, Intellectual Property Support na Regulatory Strategy kusaidia kampuni kufuata kanuni na kuingia sokoni kwa ufanisi.
Looking for professional regulatory support for pharmaceuticals or medical devices? Reginex Regulatory Consulting provides expert services in Regulatory Affairs, Product Registration, Pharmacovigilance, Compliance, Medical Writing and Regulatory Strategy to help you achieve smooth market access.
🌐 Website: https://reginexconsult.co.tz/
📧 Email: [email protected]
⸻
#ManUtd #ManchesterUnited #CarrickAtTheWheel #RedversePodcast #PremierLeague #ManUtdNews #FootballDiscussion #UnitedRedverse #Tanzania #Swahili #RegulatoryAffairs #Pharma #MedicalDevices #MarketAccess #ReginexConsulting
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: