Kauli ya Daniel Sillo kama naibu waziri kwa mara ya kwanza Bungeni
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-04-05
Просмотров: 3072
Описание:
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo leo amepata nafasi ya ujibu maswali ya wabunge ikiwa ni siu moja tangu aapishwe na Rais Samia kwenye nafasi hiyo.
Kama ilivyokuwa kwa mwenzake Katimba, Sillo naye alishangiliwa tangu alipoitwa na Spika mpaka alipomaliza kutoa salamu zake za shukrani kabla ya kuendelea na kujibu maswali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: