ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

BASHUNGWA ATOA MIEZI MITATU MKURUGENZI MUSOMA VIJIJINI KUJITATHIMINI UTENDAJI KAZI WAKE

Автор: PHD ONLINE TV

Загружено: 2022-05-07

Просмотров: 506

Описание: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa ametoa miezi mitatu kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Palela Nitu Msongela kujitathimini utendaji wake kwenye usimamizi wa miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa Hospital ya Wilaya na Ujenzi wa jengo la Halmashauri.

Ameyasema hayo leo tarehe 7 Mei, 2022 wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Halmashauri na Hospitali ya Wilaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Mkoani Mara.

Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kuunda timu ya uchaguzi ili kujiridhisha iwapo thamani ya fedha umezingatia katika ujenzi wa Miradi ya Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Musoma na Hospitali ya Wilaya inayojengwa katika kijiji cha Suguti, Mkoani Mara.

Waziri Bashungwa amesema miradi mingi ya Halmashauri hiyo imekuwa ikidorora na kujengwa kwa kusuasua na kupelekea miradi mingi kutokukamilika kwa wakati.

"Ninamuagiza Katibu Mkuu kuhakikisha a aunda timu ambayo itachunguza matumizi ya fedha zilizotumika katika ujenzi wa miradi hiyo ili kuona dhamani ya fedha iliyotumika inaenda sambamba na ubora wa majengo yaliyojengwa“ amesema Bashungwa

Waziri Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Ally Hapi kusimamia ujenzi wa miradi hiyo na kumtaka kutumia Kamati ya ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Mkopo wa IMF kusimamia ujuzi wa Miradi hiyo.

Naye, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Ally Hapi amesema kuwa wataendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri hiyo na watumishi watakaobainika ni wabadhilifu katika miradi watachuliwa hatua za kiutumishi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
BASHUNGWA ATOA MIEZI MITATU MKURUGENZI MUSOMA VIJIJINI KUJITATHIMINI UTENDAJI KAZI WAKE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAKALA | Miundombinu ya barabara na uchumi wa Mkoa wa Mara

MAKALA | Miundombinu ya barabara na uchumi wa Mkoa wa Mara

TAZAMA UBORESHAJI WA MIUONDOMBINU MANISPAA YA MUSOMA

TAZAMA UBORESHAJI WA MIUONDOMBINU MANISPAA YA MUSOMA

ZIARA YA WAZIRI MKUU MUSOMA VIJIJINI: SERIKALI KUENDELEA KUJENGA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI

ZIARA YA WAZIRI MKUU MUSOMA VIJIJINI: SERIKALI KUENDELEA KUJENGA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI

WAZIRI MKUU AMTUMBUA MKURUGENZI WA JIJI LA DSM NA WENZAKE 9 KWA TUHUMA ZA UPIGAJI WA BILIONI 10

WAZIRI MKUU AMTUMBUA MKURUGENZI WA JIJI LA DSM NA WENZAKE 9 KWA TUHUMA ZA UPIGAJI WA BILIONI 10

MUSOMA DC YAPONGEZWA KWA HATI SAFI MIAKA MITATU MFULULIZO RC ATOA MAAGIZO HAYA.

MUSOMA DC YAPONGEZWA KWA HATI SAFI MIAKA MITATU MFULULIZO RC ATOA MAAGIZO HAYA.

MJI WA MUSOMA UNAVYOPENDEZESHWA NA MAJENGO YA KISASA

MJI WA MUSOMA UNAVYOPENDEZESHWA NA MAJENGO YA KISASA

BILIONI 19.97 KUNG'ARISHA MANISPAA YA MUSOMA KUPITIA MIRADI YA TACTIC

BILIONI 19.97 KUNG'ARISHA MANISPAA YA MUSOMA KUPITIA MIRADI YA TACTIC

Wavuvi watishiwa na dhoruba Ziwa Victoria

Wavuvi watishiwa na dhoruba Ziwa Victoria

DED KYERWA ATEMBELEA MIRADI YA AFYA

DED KYERWA ATEMBELEA MIRADI YA AFYA

Денег не выдают! Россиян прогрели на заморозку вкладов. Банковская ловушка: карты блокируют повально

Денег не выдают! Россиян прогрели на заморозку вкладов. Банковская ловушка: карты блокируют повально

Manispaa ya Musoma 'ilivyopambwa' kwa Barbara za lami

Manispaa ya Musoma 'ilivyopambwa' kwa Barbara za lami

Электричество НЕ течёт по проводам — тревожное открытие Ричарда Фейнмана

Электричество НЕ течёт по проводам — тревожное открытие Ричарда Фейнмана

Wanavijiji wa MUSOMA VIJIJINI wakiwemo wale wa visiwani wamehamasika na wanakubali sana kuhesabiwa.

Wanavijiji wa MUSOMA VIJIJINI wakiwemo wale wa visiwani wamehamasika na wanakubali sana kuhesabiwa.

WANANCHI KATA YA BISUMWA WAOMBA KUHAMIA MANISPAA YA MUSOMA

WANANCHI KATA YA BISUMWA WAOMBA KUHAMIA MANISPAA YA MUSOMA

TAIFA LINAHITAJI WANASAYANSI WENGI NA MAHIRI, MUSOMA VIJIJINI KUANZA KUWA NA HIGH SCHOOLS ZA SAYANSI

TAIFA LINAHITAJI WANASAYANSI WENGI NA MAHIRI, MUSOMA VIJIJINI KUANZA KUWA NA HIGH SCHOOLS ZA SAYANSI

Wananchi wa Musoma vijijini waiomba serikali kuwapa msaada wa haraka wa chakula.

Wananchi wa Musoma vijijini waiomba serikali kuwapa msaada wa haraka wa chakula.

CHUO CHA MIPANGO NA MAENDELEO VIJIJINI 'KUINOGESHA' WILAYA YA MAGU MWAKA 2020

CHUO CHA MIPANGO NA MAENDELEO VIJIJINI 'KUINOGESHA' WILAYA YA MAGU MWAKA 2020

Musoma kuja na maboresho 'kabambe' ya stendi ya daladala

Musoma kuja na maboresho 'kabambe' ya stendi ya daladala

"SITOKI HAPA MPAKA KIELEWEKE" RC MTANDA KUWAHAMISHA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA MUSOMA VIJIJINI

Почему МАЛЕНЬКИЙ атом создает такой ОГРОМНЫЙ взрыв?

Почему МАЛЕНЬКИЙ атом создает такой ОГРОМНЫЙ взрыв?

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]