PROPHET IPM ALIPUKA MKE WANGU NAKATA MWENYEWE HAKATI MTU,,MZK INFO
Автор: Mzee Wa Mikito TV (MZK INFO)
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 55
Описание:
KONGAMANO LA WANAWAKE | MWANZO MPYA WA MWANAMKE
📍 Dar es Salaam
📅 31 Januari 2026
Mama IPM, mke wa Prophet IPM, anatarajiwa kuongoza kongamano kubwa la wanawake na mabinti kutoka Dar es Salaam na mikoa mbalimbali ya Tanzania, litakalofanyika katika Kanisa la Prophet IPM – Embassy of God for All Nations.
Kongamano hili maalum linalobeba kaulimbiu “MWANZO MPYA WA MWANAMKE” limeandaliwa kwa lengo la kuwaimarisha wanawake kiroho, kimaadili na kimaisha, kupitia mafundisho yenye kugusa uhalisia wa maisha ya mwanamke wa kizazi cha sasa.
Kwa mujibu wa waandaaji, kongamano hili lipo wazi kwa wanawake wote bila kujali dini, kabila au rangi, likilenga kuimarisha umoja, matumaini na kuwasha moto wa mwanzo mpya katika maisha ya kila mwanamke.
🎥 Usikose kushuhudia tukio hili la kipekee!
🔔 Subscribe | Like | Share..
.....
A
MZK INFO
MZEE WA MKITO
MZEE WA MIKITO TV
MZK ONLINE
MZEE WAMIKITO ONLINE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: