Patron: Mbwa anayegundua mabomu ya ardhini Ukraine
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-04-17
Просмотров: 2571
Описание:
Huduma ya Dharura ya Jimbo la Ukraine (SES) imetoa picha ya mmoja wa wafanyakazi wao wadogo ambaye ni mbwa anayeitwa Patron.
Mbwa huyu wa miaka miwili na nusu anasaidia maafisa katika eneo la Chernihiv kupata mabomu ya ardhini na makombora ambayo hayakulipuka yaliyoachwa baada ya vikosi vya Urusi kuondoka katika eneo hilo.
#bbcswahili #ukraine #urusi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: