KIMENUKA MALISA APINGA TAARIFA YA POLISI WASIOJULIKANA KUVAMIA USIKU SAA 8 KWA MAMA YAKE
Автор: UHURU MEDIA ONLINE
Загружено: 2025-12-21
Просмотров: 13033
Описание:
Mwanaharakati Malisa gj amekanusha Taarifa ya jeshi la polisi Kilimanjaro watu walio Vaa mask usoni kuvamia nyumbani Kwa mama yake usiku wa saa 8 ambapo jeshi la polisi limedai kufuatia uchunguzi walioufanya na kuwahoji majirani na viongozi wa kitongoji wamedai watu wao hawajaonekana. Lakini pia kuhusu tanki la maji kufunguliwa polisi wanadai wamekuta tank liko full na maji na hakuna dalili za mfuniko kufunuliwa huku wakikanusha kumshikilia mama yake Godlisten Malisa. Malisa amekanusha taarifa hiyo ya jeshi la polisi
#polisi #polisitanzania #moshi #kilimanjaro #malisa #malisagj
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: