NGUVU YA UJASIRI KATIKA MAOMBI
Автор: Gurudumu la Kinabii
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 95
Описание:
Watu wengi sana hawana ujasiri wa kutosheleza kiasi cha kwenda mbele za Mungu na kumuomba mambo makubwa. Badala yake watu wengi sana hupoteza fursa mbele za Mungu kama wangemuomba mambo makubwa kiasi cha BWANA Mungu kubadirisha maisha yao.
Sasa hii ndo siri ya ujasiri wa kumuondea Mungu na kumuomba mambo makubwa na ya thamani.
Nakala ya mahubiri haya iwaendee wafuatao:
Taifa stars
Watanganyika wote
MWB Jaimes Onaire
Watanzania wote
KUMBUKA PIA:
Mhubiri wa neno hili la Mungu amekuwa akijihusisha na mambo mengine ya kiroho kama vile kuachilia:
UNABII WA MWAKA 2026
UNABII JUU YA TANZANIA
UNABII WA MATOKEO YA MPIRA WA SIMBA NA YANGA
UTIMILIFU WA MANENO YA UNABII
MAOMBI YA USIKU
MAOMBI YA ASUBUHI
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: