FARASI | Raphael Sabahi alivyojindeleza katika sekta ya kilimo kupitia mkopo wa 10% wa Halmashauri
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 112
Описание: Moja ya jitihada za serikali katika kuhakikisha vijana wanajikwamua kiuchumi ni kutoa mikopo ya Halmashauri ya 10%,Raphael Sabahi mkazi wa Kibaha mjini huyu ni muhitimu wa shahada ya uwalimu pia ni mmoja wa wanufaika wa mkopo huo ambaye yeye ameweza kutumia mkopo huo katika uwekezaji wa kilimo hadi kuweza kujikwamua kiuchumi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: