Bustani ya Mama Ngina inatarajiwa kuvutia watalii baada ya kukarabatiwa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-10-21
Просмотров: 6541
Описание: Bustani ya Mama Ngina water front ambayo ilizinduliwa jana baada ya kukarabatiwa inatarajiwa kuimarisha ziara za watalii wa ndani katika mji wa Mombasa. Sehemu hiyo ni kivutia kikubwa kwani nawapa fursa wananchi kutazama bahari kwa karibu na hata kujionea safari za mali na shughuli nyingine baharini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: