Uga wa Gusii waidhinishwa kuandaa kipute cha ligi ya kitaifa baada ya miongo miwili
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-09-26
Просмотров: 1286
Описание: Mashabiki Wa Timu Ya Shabana Sasa Wanakila Sababu Ya Kutabasamu Baada Ya Uga Wa Gusii Mjini Kisii Kuidhinishwa Kuandaa Kipute Cha Ligi Ya Kitaifa Baada Ya Miongo Miwili. Hata Hivyo , Licha Ya Timu Hiyo Kushusha Pumzi Ya Kuchezea Nyumbani, Mashabiki Wao Wamepigwa Marufuku Kuhudhuria Takriban Mechi Tano Za Timu Za Shabana Katika Uga Huo Kufuatia Uharibifu Ulioshuhudiwa Katika Uwanja Wa Ulinzi Complex Wikendi Iliyopita. Chrispine Otieno Na Mengi Zaidi Kutoka Kisii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: