WALITUMWA KWENYE MISSION HATARI ZAIDI DUNIANI!
Автор: Swahili Recap
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 2877
Описание:
kundi la wanajeshi waliokwenda kwenye mission wakiamini kuwa ni mafunzo ya kawaida ya kijeshi. Lakini mambo yanabadilika ghafla pale wanapogundua kuwa wanakutana na uvamizi wa viumbe wa angani wenye nguvu za kutisha. Kilichoanza kama training mission kinageuka kuwa vita halisi ya kuokoa maisha yao na kuilinda dunia.
Utashuhudia mapambano makali, hofu, ujasiri, maamuzi magumu, na safari ya askari mmoja anayelazimika kupambana hadi mwisho. Hii ni hadithi ya kusisimua sana yenye action kali kutoka mwanzo hadi mwisho.
Tazama mpaka mwisho ujue kama askari hawa watafanikiwa kuwasimamisha aliens hawa hatari.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: