FAHAMU SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LILIVYOJIPANGA KWA HUDUMA YA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI
Автор: MBOZI KATALA
Загружено: 2019-04-17
Просмотров: 142
Описание:
Baada ya kupewa jukumu la kutoa huduma ya kubadilisha fedha za kigeni na Benki Kuu Tanzania -BOT, Shirika la Posta Tanzania limeelezea mikkati ya kutoa hudma hiyo kwa uthabiti.
Fuatilia mahojiano na Mwanaisha Said Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara pamoja na Rehema Mbunda Meneja Huduma za Fedha katika kipindi cha JAMBO TANZANIA kinachorushwa na TBC 1.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: