Mekatilili wa Menza
Автор: Department of Film Services DFS
Загружено: 2024-05-03
Просмотров: 155
Описание:
Mekatilili wa Menza , almaarufu Mekatilili, alikua mwanaharakati wa uhuru aliyeongoza jamii ya wagiriama dhidi ya utawala wa ukoloni hapa Kenya kati ya mwaka wa 1912 na 1915.
Kwa kuenzi mama huyu mshupavu, tarehe 13 Agosti kila mwaka ni siku kuu kwa wakaaji wa eneo la Pwani haswa kaunti ya Kilifi kumsherekea na kujikumbusha tamaduni zao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: