SIKU 10 ZA MAOMBI | BALI WEWE USALIPO... | DAY 02 | MCH. DAVID MMBAGA | SIKU YA PILI (2)
Автор: SDA Church Magomeni
Загружено: 2025-01-09
Просмотров: 2286
Описание:
Karibu katika Siku Kumi (10) za Maombi! Tunaamini kwamba maombi ni chimbuko la uamsho wa kweli. Mungu amekuwa akitutendea miujiza mingi tunapomtafuta pamoja kwa kufunga na kuomba.
Mada Kuu katika Siku hizi kumi (10) ni "Bali wewe usalipo..."; Na Fungu Kuu linasema; "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao". ~ 2 Mambo ya Nyakati 7:14
Mhubiri Mkuu: Mchungaji David Mmbaga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: