Wafanyabiashara Kariakoo ngoma ngumu, waweka msimamo kufungua maduka, wamtaka Rais Samia
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-06-26
Просмотров: 35181
Описание:
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko.
Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko alilolitoa.
Mgomo wa wafanyabiashara hao umeingia siku ya tatu leo, huku kilio chao kikubwa kikiwa kuilalamikia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa tozo mbalimbali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: