Mpango wa kuwahamisha Wapalestina waiva,Israel yakataa wito wa amani
Автор: Poa Media
Загружено: 2025-08-14
Просмотров: 17727
Описание:
Waziri wa Fedha wa Israel anayeegemea mrengo wa mkali wa kulia Bezalel Smotrich, ameidhinisha ujenzi wa makazi ya zaidi ya nyumba 3,400. Mpango huo unaojulikana kama E1 unalenga kuutenga mji wa Jerusalem Mashariki eneo linalokaliwa kimabavu kutoka kwenye eneo la Ukingo wa Magharibi.
Ofisi ya Smotrich imesema, hatua hiyo italizika moja kwa moja wazo la kuundwa taifa huru la Palestina.
#israel #gaza #masharikiyakati #netanyahu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: