Buguza Feat Mucky Talent - Nimekubali Remix (Official Audio Lyrics)
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 19506
Описание:
NIMEKUBALI (Remix) ni wimbo wa hisia nzito unaobeba maumivu ya mapenzi ya kweli 💔
Baada ya toleo la awali, Mucky Talent aliomba remix, na leo tumekuja na version mpya yenye ladha tofauti lakini maumivu yale yale.
Huu ni wimbo kwa yeyote aliyependa kwa dhati, akaumia, akaamua kusema “nimenyoosha mikono… nimekubali” 😔
Mapenzi yakiumiza, mtu hubaki na kumbukumbu tu.
👉🏽 Subscribe, Like, Comment na Share kama umewahi kupitia maumivu ya mapenzi
👉🏽 Tuambie kwenye comment: umewahi kukubali nini kwenye mapenzi?
#Nimekubali
#NimekubaliRemix
#MimiBuguza
#MuckyTalent
#BongoFlava
#LoveSong
#MaumivuYaMapenzi
#SwahiliLove
#TanzaniaMusic
#NewMusic2026
#BongoMusic
#HeartbreakSong
#Mapenzi
#SadSong
#AfricanMusic
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: