Jinsi ya Kununa Na Kutumia Water Dispenser
Автор: Cities & Flavors
Загружено: 2022-06-09
Просмотров: 16180
Описание:
Kabla hujanunua Water Dispenser yako kwa ajili ya kupoza kiu yako ya maji baridi, hakikisha unazingatia vitu hivi ili uweze kununua water dispenser sahihi inayokidhi mahitaji yako. Dispenser Zipo aina nyingi na zinatofautiana bei .
Hakikisha unaangalia video hii mpaka mwisho ili kujua jinsi ya kununua na kutunza water dispenser yako ili idumu kwa muda mrefu.
Pia kama una "ushauri" au swali yoyote, andika kwenye comment ili wengine pia wafaidike!
kama umefurahishwa na video hii, hakikisha una like, share na kusubscribe kwenye channel yetu.
Asanteni sana na karibuni wote.
Instagram link: / fundi_dsm
Facebook page link: / bombaywallla
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: