Wanahisa NMB waridhia Gawio la Tsh bilioni 96.7, Gawio kwa kila hisa moja TZS 193 kwa Mwaka 2021.
Автор: BizTV Tanzania
Загружено: 2022-06-03
Просмотров: 1088
Описание:
Katika Mkutano Mkuu wa 22 wa wanahisa wa Benki ya NMB, Uliofanyika leo tarehe 3 Juni, 2022.
Wanahisa wameridhia mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB ya kulipa gawio la shilingi bilioni 96.7, sawa na shilingi 193 kwa kila hisa moja kwa mwaka 2021. Hili ni ongezeko la 41% ukilinganisha na Shilingi 137 tuliyolipa kwa kila hisa mwaka 2020.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: