Magoli | Tabora United 0-3 Yanga SC | NBC Premier League 02/04/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-04-02
Просмотров: 224073
Описание:
Magoli kutoka kwa Israel Patrick Mwenda, Clement Mzize na Prince Dube yameipa Yanga ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya Tabora United, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Hiki ni kisasi kwa Yanga dhidi ya Tabora United, ikikumbkwa mchezo wa kwanza waliokutana msimu huu, Yanga ilipoteza nyumbani kw akichapo cha mabao 3-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: