DONDOO NA Reggae....Valentines day special pt1
Автор: Dondoo na …..
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 26
Описание:
Karibu sana kutoka popote ulipo, iwe una mpenzi, huna mpenzi, au bado unajitafuta, karibu kwenye Dondoo na Reggae. Happy Valentine’s Day my people. Kwa wengine, hii ni siku ya maua, zawadi na maneno matamu. Hapa kwetu ni tofauti, mimi pamoja na team yangu tunasema mapenzi ni zaidi ya tarehe. Mapenzi ni tabia. Ni jambo la kila siku. Mapenzi yasiyosubiri kalenda. Huhitaji kusubiri Valentine ndiyo useme unampenda, unamjali,unamwitaji au unamthamini. Team yangu inasema kuwa hayo yote ni muhimu Kuiambia nafsi yako kwanza kila siku.
Once again, karibu kwenye Dondoo na Reggae, Mapenzi ya kweli, yanaanza na wewe.
Kaa nasi hadi mwisho, lakini pia tunahitaji kuona uwepo wako kwenye mitandao yetu yote ya kijamii.
Tufuatilie Instagram, X na Facebook kupitia @kwanzaproduction @kwanzaradioonline
Na mimi unaweza kunipata kwenye Instagram, Facebook na hata X kama @mutwiba
LinkedIn napatikana kama Mubelwa Bandio.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: