Episode 77 | Mwanajua by Dizasta Vina (Uchambuzi)
Автор: Wanangu Podcast
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 5619
Описание: Baada ya episode ya 75 kuchambua wimbo wa “Mbuzi” wa Dizasta Vina, watazamaji wa Wanangu podcast Youtube wameomba uchambuzi wa wimbo wake wa “Mwanajua” kutoka katika album yake ya The Verteller (2020). Episode hii imekuja kutuliza kiu yao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: