MZEE SAID|NILIPIGIWA SIMU 1 TU NIKAJUA IMEISHA😂 MECHI YA MAZEMBE MGONJWA WANGU ALIAMKA NIKAJUA KESI😂
Автор: Finest Online II
Загружено: 2025-01-06
Просмотров: 128505
Описание:
Maamuzi ni yako wewe mwenyewe unaenda na lipi😂😂
Wenye akili zao wanamuona Mzee Said kama mshereheshaji tu wana enjoy vituko vyake kila siku maisha yanaendelea..
Wapo wanaomchukulia kama Mchambuzi wanataka awe shabiki mfia timu hao ndio kila siku wanaambulia maumuivu maana Mzee mwenyewe hata haeleweki eleweki hao ndio kila siku wanaumia maskini na interview za huyu Mzee.... Wanaamini atakalolisema lazima litokee kama mtabiri tambi tambi 😂😂
Wanaoenjoy wanaamini neno la Mzee Said sio sheria wanachopenda vituko vyake tu kila siku hawabebi maneno yake
Aniwei maamuzi ni yako na tafsiri ni zako mwenyewe 🤪🤪
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: