NIKO TAYARI | Dcn. Bathlomeo Florian, SAC | Kwaya ya Vijana (KMC) | Parokia ya Zingiziwa.
Автор: KMC - Zingiziwa Parish
Загружено: 2025-12-20
Просмотров: 2019
Описание:
Kwaya ya Vijana ya Mt. Cecilia, Parokia ya Wat. Yoakim na Anna - Zingiziwa, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, inakualika kutazama na kutafakari wimbo huu "Niko Tayari" wenye maudhui ya kuitika wito wa Mungu unaotualika kuwa tayari muda wote kumtumikia bila kujibakiza.
Wimbo: Niko Tayari
Mtunzi: Dcn. Bathlomeo Florian, SAC
Waimbaji: KMC - Zingiziwa Parish
Audio: Pallotti Productions
Video: HMP
Shiriki utume wa Vijana kwa Ku-subscribe, like, comment & share.
MUNGU ATUBARIKI SOTE.
Mapendooooo....!!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: