KIHORO | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | ADAM LEO
Автор: Adam Leo TV
Загружено: 2021-10-27
Просмотров: 412999
Описание:
Kijana Adam ambaye ni dereva boda boda anajikuta katika matatizo baada ya kufumaniwa na mke wa jirani yake Abdallah, ambapo baada ya fumanizi hilo, Abdallah alimuachia bila kumfanya chochote na kumruhusu aondoke kwa sharti la jambo hilo kubaki kuwa siri ya watu watatu, Je, Adam ataweza kubaki na KIHORO hiko kinachomtesa ndani ya moyo wake bila kumwambia mtu? Fuatilia...
.
Filamu hii Imeandikwa na kuongozwa na ADAM LEO
Kwa mazungumzo yoyote ya kibiashara wasiliana nasi kwa simu namba 0652393960.
.
Usisahau ku SUBSCRIBE ili usipitwe na kazi zote tunazoziweka kila mwezi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: