Jeshi la Polisi limewatawanya wafuasi wa kikundi cha Kiislam.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2012-10-17
Просмотров: 43592
Описание: Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanya watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa katibu wa jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania sheikh Ponda Issa Ponda kushinikiza aachiwe huru baada ya kushikiliwa na jeshi la polisi kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kudaiwa kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani jijini Dar Es Salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: