RAIS MAGUFULI AMBANA RPC RUKWA 'Nawapa siku 7, Hata mke wangu anaona sura yangu mbaya"
Автор: Bongo5
Загружено: 2019-10-06
Просмотров: 7463
Описание: Rais Dk. John Magufuli leo Oktoba 6, 2019 anaanza ziara ya siku tatu mkoani Rukwa ambapo anatarajiwa kufungua barabara ya Tunduma - Sumbawanga yenye urefu wa Km 223.21. Rais Magufuli yupo katika ziara ya siku tisa katika mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: