Klub A-Z Episode 05 PART 4: FAMILIA 13 ZINAZOITAWALA DUNIA!!
Автор: Klub A-Z
Загружено: 2025-04-15
Просмотров: 21789
Описание: Kwenye sehemu hii ya mwisho ya mazungumzo yetu na Abas Chionda, amegusia kuhusu Lilith anayesemakana kuwa mke wa kwanza wa Adam, pia ametaja utajiri wa Mansa Musa aliyekuwa mtawala wa himaya ya Mali mwaka kati ya mwaka 1312 na 1337 AD, na mwisho kabisa tumekueletea familia 13 ambazo zinasemekana kuwa na ushawashi mkubwa dunia kwenye siasa, biashara, uchumi na fedha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: