BIBLIA INASEMAJE KUHUSU MALIMBUKO // KANUNI YA KUZIDISHIWA
Автор: SIRI ZA BIBLIA
Загружено: 2026-01-03
Просмотров: 1311
Описание:
Kutoka 23:20-23
Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea. Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; wala msimtie kasirani; maana, hatawasamehe makosa yenu; kwa kuwa jina langu limo ndani yake. Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao. Kwa kuwa malaika wangu atatangulia mbele yako, na kukufikisha kwenye Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mkanaani, na Mhivi, na Myebusi; nami nitawakatilia mbali.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
https://linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: