🔴
Автор: Mwenge SDA Church
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 931
Описание:
#Siku10zaMaombi
#Kuchukuliwa
#SikuyaKumi
#MchGerald Nyakrere
#NitakwendaKujihusisha
#JihusisheYesuAnakuja
Karibu katika Ibada ya maombi ya Siku 10 za Maombi na Kufungaliwa || Siku ya Kumi 10 - 16.01.20256
Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge @mwengesdachurch linawakaribisha waabudu wote katika Ibada ya Sabato.
Wahudumu:
Mhubiri : Mch. Gerald Nyakrere.
Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Gerald Nyakrere +255 688 779 995
Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe [email protected] au [email protected]
SADAKA YA MAJENGO
Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela).
SADAKA ya MAJENGO:
CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela)..
ZAKA & SADAKA
Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela).
Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela).
Mungu akubariki.
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
Facebook Page: Mwenge SDA Church Live
Instagram: mwengesdachurchlive
TikTok: Mwenge SDA Church
Mungu akubariki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: