Rais Ruto akutana na jamii ya kimataifa inayoishi Kenya
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 199
Описание:
Rais William Ruto amethibitisha tena kujitolea kwa Kenya kuzingatia taratibu za kimataifa zinazozingatia sheria, akihimiza uungwaji mkono wa taasisi za kimataifa licha ya kudorora kwa utulivu duniani. Katika Hotuba yake ya kila mwaka ya Kidiplomasia kwa mabalozi na Mashirika ya Kimataifa katika Ikulu ya Nairobi, Ruto alisema Kenya inasalia kuwa mtetezi imara wa taratibu za kimataifa zinazozingatia sheria na kulinda uhuru na uadilifu wa Mataifa kama ilivyoainishwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: