WINGA EPISODE 2: Tapeli wa pesa, mapenzi akutana na Mfumo
Автор: PPRA TANZANIA
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 2448
Описание:
#nest #ppra #tenda
Kupitia simulizi yenye burudani, uhalisia na mafunzo, utaona:
✔️ Jinsi fursa za tenda zinavyopatikana kupitia Mfumo wa NeST;
✔️ Namna ya kushiriki bila kupitia kwa madalali;
✔️ Kwa nini sasa ushindani ni haki kwa kila mfanyabiashara;
Tazama, jifunze, chukua hatua — fursa hazihitaji connection, zinahitaji maarifa. 🎬
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: