ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAHANDISI WA MKOA WA SINGIDA WAMKOSHA WAZIRI MKUU

Автор: SINGIDA RS

Загружено: 2022-07-17

Просмотров: 545

Описание: Waziri Mkuu wa Jamhuri muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewapongeza wahandisi wa Mkoa wa Singida kwa umahiri wao Katika kubuni na kusimamia kazi za Ujenzi ambazo zimefanyika sehemu mbalimbali Mkoani hapo.
Pongezi hizo zimetolewa leo Katika Kijiji Cha Mkomo kilichopo kata ya Iguguno Mkoani hapo wakati wa ukaguzi wa daraja la Mkomo ambapo wahandisi kwa kutumia ubunifu wao wameweza kuokoa Milioni 448 Katika Ujenzi wa daraja hilo kwa kutumia teknolojia rahisi ya mawe.
Waziri Mkuu amesema Serikali inatumia fedha nyingi kujenga madaraja ambapo endapo teknolojia hiyo itaenezwa kwa wahandisi wengine itazidi kuokoa fedha nyingi za Serikali katika Ujenzi huo.
"Nawapongeza Sana kwa kazi nzuri mnayoifanya, nimetembelea Ujenzi wa shule ya wasichana Solya wilayani Manyoni, nimetembelea Kituo Cha Afya Mtoa Iramba leo nipo Mkomo nimeiona daraja la mawe nawapongeza kwa kazi nzuri na ubunifu mnaofanya, mmeokoa kiasi kikubwa Cha fedha" alisema
Amesema umefika wakati sasa wahandisi wengine kuiga taaluma hiyo ya mawe kwa kila Mkoa kwakuwa kila Mkoa una mawe mengi Jambo ambalo litasaidia kupunguza gharama za Ujenzi.
Amewataka wahandisi hao kwenda kuangalia eneo la Mtoa Wilayani Iramba na kufanya tathmini ya unenzi wa daraja kubwa Katika eneo lenye usumbufu wa maji ambapo Awali ilionekana kujitaji gharama za TSH. Milioni 900.
" nataka wahandisi wa mikoa mingine waige ili tuweze kujenga madaraja ya mawe, Lakini pia Jana wananchi wa kata ya Mtoa waliomba Serikali kuwajengea daraja katika kata hiyo,Sasa nendeni mkafanye tahamni kwa kuwa inawezekana tukapunguza gharama kutoka Milioni 900 mpaka kufikia Milioni 102"alisema Waziri Mkuu.
Kwa upande wake Mhandisi wa TARURA Tembo Devidi ambaye ndiye Msimamizi wa Ujenzi wa daraja hilo la Mkomo amesema daraja limekamilika kwa asimia mia moja na limegharimu sh.102 kwa kutumia teknolojia ya mawe na endapo lingetumia lingegharimu Milioni 550.
Amesema daraja hilo lenye urefu wa Mita 30 na upana wa Mita 7 litawasaidia wananchi kuendesha Shughuli mbalimbali zikiwemo Biashara na huduma nyingine kijamii.
Amesema teknolojia hiyo ya mawe imetumika zaidi katika nchi za Hispania na kwa hapa Nchini zaidi ni Mkoa wa njombe na Kigoma
Naye Naibu Waziri wa TAMISEMI Dr.Festo John Dugange Wameendelea kuwasiliana na meneja TARURA wa Mikoa kuahakikisha babara zinakuwa Bora na za viwango vya juu na zipitika kwa mwaka mzima.
Amesema Katika mwaka wa fedha wa 2022/23 walaya ya Mkalama imeongezewa bajeti ya Barabara za TARURA kutoka mioni 600 hadi kufikia Bilioni 2.2 Lengo likiwa ni kuboresha Maisha ya wananchi wakati bajeti ya Mkoa wa Singida ikiwa imeongezewa kutoka Bilioni 6 mpaka Bilioni 23.
Mwisho

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAHANDISI WA MKOA WA SINGIDA WAMKOSHA WAZIRI MKUU

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

FULL KIPINDI-TRC NA WFP WASAINI MKATABA UTENGENEZAJI MABEHEWA,JE UNAPAJUA SARANDA MKOANI SINGIDA ??

FULL KIPINDI-TRC NA WFP WASAINI MKATABA UTENGENEZAJI MABEHEWA,JE UNAPAJUA SARANDA MKOANI SINGIDA ??

#TAZAMAl MUONEKANO WA DARAJA LA MAWE SINGIDA, WAZIRI MKUU ATINGA KUJIONEA, ATOA KAULI HII...

#TAZAMAl MUONEKANO WA DARAJA LA MAWE SINGIDA, WAZIRI MKUU ATINGA KUJIONEA, ATOA KAULI HII...

Miradi ya TBA Mkoani Singida

Miradi ya TBA Mkoani Singida

Mgodi wa Shanta kuanza uzalishaji wa dhahabu 2023 Singida; Naibu Waziri atema CHECHE!

Mgodi wa Shanta kuanza uzalishaji wa dhahabu 2023 Singida; Naibu Waziri atema CHECHE!

#TAZAMA| MADUDU  UJENZI SHULE YA WASICHANA SINGIDA YAMTIBUA NAIBU WAZIRI NDEJEMBI

#TAZAMA| MADUDU UJENZI SHULE YA WASICHANA SINGIDA YAMTIBUA NAIBU WAZIRI NDEJEMBI

MAMA JASIRI AJILIPUA MBELE YA WAZIRI MKUU, SHERIA INAUZWA LAKI 5, KUNA WATU WAPO JUU YA SHERIA..

MAMA JASIRI AJILIPUA MBELE YA WAZIRI MKUU, SHERIA INAUZWA LAKI 5, KUNA WATU WAPO JUU YA SHERIA..

FAHAMU TARATIBU ZA UNUNUZI WA ARDHI-EP01

FAHAMU TARATIBU ZA UNUNUZI WA ARDHI-EP01

FAHAMU TARATIBU ZA UNUNUZI WA ARDHI - EP03 FINAL

FAHAMU TARATIBU ZA UNUNUZI WA ARDHI - EP03 FINAL

ARDHI NDIO DHAHABU TULIYONAYO MKONONI – RC DENDEGO

ARDHI NDIO DHAHABU TULIYONAYO MKONONI – RC DENDEGO

Как КИТАЙСКАЯ Спецтехника покорила Весь МИР?

Как КИТАЙСКАЯ Спецтехника покорила Весь МИР?

SINGIDA: MWILI WA MCHIMBAJI ALIYEFUKIWA NA KIFUSI MGODINI WAPATIKANA

SINGIDA: MWILI WA MCHIMBAJI ALIYEFUKIWA NA KIFUSI MGODINI WAPATIKANA

WAUGUZI MKOA WA SINGIDA WATAKIWA KUJUA THAMANI YAO NA KUTUNZA SIRI ZA WAGONJWA

WAUGUZI MKOA WA SINGIDA WATAKIWA KUJUA THAMANI YAO NA KUTUNZA SIRI ZA WAGONJWA

НОВЫЕ ПРАВА И СТС 2026: новый РАЗВОД ДПС, 55 000 000₽ за ржавчину, новые ловушки и знаки ПДД

НОВЫЕ ПРАВА И СТС 2026: новый РАЗВОД ДПС, 55 000 000₽ за ржавчину, новые ловушки и знаки ПДД

Mmoja amefariki zaidi ya watu 25 walazwa mkoani Singida baada ya kuhudhuria sherehe na kula chakula

Mmoja amefariki zaidi ya watu 25 walazwa mkoani Singida baada ya kuhudhuria sherehe na kula chakula

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

#TAZAMA| WAZIRI MKUU AIBUA MADUDU, UPIGAJI WA MAPATO SINGIDA,

#TAZAMA| WAZIRI MKUU AIBUA MADUDU, UPIGAJI WA MAPATO SINGIDA, "TAKUKURU WACHUKUE POPOTE WALIPO"

FAHAMU TARATIBU ZA UNUNUZI WA ARDHI - EP02

FAHAMU TARATIBU ZA UNUNUZI WA ARDHI - EP02

#SINGIDA#KINACHO ENDELEA NYUMBANI KWA ASKOFU YONA SULEIMANI

#SINGIDA#KINACHO ENDELEA NYUMBANI KWA ASKOFU YONA SULEIMANI

KIKAO KAZI CHAELEZA FURSA LUKUKI ZILIZOPO SINGIDA

KIKAO KAZI CHAELEZA FURSA LUKUKI ZILIZOPO SINGIDA

КТО УБИЛ СССР? ЕЛЬЦИН РАСКРЫЛ ПРАВДУ, КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ 35 ЛЕТ!

КТО УБИЛ СССР? ЕЛЬЦИН РАСКРЫЛ ПРАВДУ, КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ 35 ЛЕТ!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]