Siri imefichuliwa sababu za kutofanikiwa kwako- Sehemu ya 1
Автор: Eng. Kabenda Balete
Загружено: 2022-03-15
Просмотров: 10340
Описание:
Maisha ya Mwanadamu yana malengo mahususi ya kubadirisha mazingira ili yaweze kumfaa na kuwafaa wengine, katika kufanya hivyo Mungu anatarajia mwanadamu aishi maisha kamili ambayo aliweka katika picha ya mambo yajayo ambayo ni kusudi la kuumbwa kwake.
Chukua hatua tambua karama na vipawa Mungu alikupa ili kuweza kubadiri mazingira yafae kwa wewe kuishi na wote wanao kuzunguka uyatimize mapenzi yake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: