Maajabu ya Chanzo cha Mto wa Pili kwa Ukubwa Tanzania: Mto Malagarasi
Автор: Anna Peter
Загружено: 2022-09-02
Просмотров: 26008
Описание:
#tanzaniakijani
SIMULIZI ZA UHIFADHI BUHIGWE: PART1
Chanzo cha Mto wa pili kwa urefu Tanzania, Mto Malagarasi kinapatikana Wilaya ya Buhigwe, katika Kijiji cha Mnanila. Chaajabu ni kwamba ukifika na kukiona hutaamini kuwa chanzo hicho ndio kimetoa mto mkubwa Tanzania, Malagarasi ambao maji yake ni chanzo kikuu cha maji ya Ziwa Tanganyika.
Timu ya Tanzania Kijani imetembelea eneo hilo nakuzungumza na wadau wa Mazingira kuhusu umuhimu wa kuhifadhi eneo hilo kwakupanda miti ya asili aina ya Mikangazi ‘African Mahogany’ na Mikuyu ‘Ficus’.
#tanzaniakijani #buhigwe #kigoma #chanzochamtomalagarasi #ziwatanganyika #upandajimitiyasili #mitiyasili #uhifadhi #kupunguzaatharizamabadilikoyatabianchi #maendeleoendelevu #conservation #indigenoustrees #tanzania #treeplanting #conservation _______________________________________
Camera: Joachim Kapembe
Drone: Azizi Msuya & Ahmed Mbaraka
Producer: Anna Peter
_______________________________________
Usikose Kufatilia kipindi hiki cha TANZANIA KIJANI, kinachohusu maswala ya Uhifadhi na mambo yote yanayowakilisha rangi ya Kijani katika bendera yetu ya Tanzania.
Ni kila JUMAMOSI saa 12:30 jioni na JUMATATU saa 3:00asubuhi, TBC1.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: