"MARUFUKU KUOANA NDUGU, MAPADRE HAKUNA RUHUSA KUFUNGISHA NDOA HIZO "ASKOFU WILBROAD KIBOZI
Автор: Johari Media
Загружено: 2024-07-01
Просмотров: 1833
Описание:
Marufuku hiyo imetolewa na Askofu msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma Askofu Wilbroad Kibozi katika adhimisho la Misa Takatifu ya Kuwaimarisha vijana wa Kipaimara zaidi ya 70 na Kuwabatiza watoto zaidi ya watoto 80.
Katika Misa hiyo iliyohudhuriwa na waamini mbalimbali kutoka parokia ya kinusi ikihusisha vigango vyake askofu Kibozi amepiga marufuku waamini kuoana ndugu.
Mtazamaji wa Johari Media endelea kuitazama Johari Media kwa habari mbalimbali za kanisa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: