Je unajua neno daladala lilipoanzia... Ungana na mhifadhi fedha za zamani...
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-10-31
Просмотров: 1829
Описание:
Kassim Farid, @advocate_kassim1, Mhifadhi fedha za zamani aeleza mengi kuhusu fedha hizo na sababu zilizomsukuma yeye kupenda kutunza fedha za zamani…na Je unajua kuwa noti ya shilingi tano ndiyo iliyotoa neno la daladala…?
#azamtvupdates
Mhariri|@official_jennifersumi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: