MAMIA WAJITOKEZA KUMWOMBEA HAYATI LOWASA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-02-10
Просмотров: 199
Описание:
#HABARI: Mamia ya Wakazi wa Wilaya ya Monduli, Viongozi wa Dini, Mila na Serikali kutoka Mikoa mbalimbali nchini, wamejumuika kwenye Ibada ya kumbukizi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowasa, iliyofanyika wilayani Monduli ambapo Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh.George Simbachawene, ametoa wito kwa Viongozi waliopo madarakani kutenda haki, ili wanapotoweka wakumbukwe kwa mema waliyotenda.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: