GEORGE AMBANGILE: “YANGA IKO BORA KUZIDI COASTAL/ AZIZ KI/ FEI TOTO/ NABI KAPATA WA KUANZA NAE..
Автор: Mpenja TV
Загружено: 2022-12-19
Просмотров: 13753
Описание:
Leo tarehe 19 Disemba,Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Mchambuzi hodari wa Mpira wa Miguu Nchini George Ambangile kutoka Wasafi Media na kutoa tathmini yake kuelekea mechi ya Ligi kuu kati ya Yanga na Coastal Union.
Ambangile pia amejibu swali la Mwandishi alipomuuliza kuhusu Kocha wa Yanga Mohammed Nabi kuanza na mmoja kati ya Aziz Ki na Feisal Salum tofauti na awali alipokua akinzisha wote kwenye kikosi ni ‘Style’ gani imefanikiwa zaidi…..
Kwa hayo na mengine mengi tazama video hii…
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: