Fufuni SC 1-2 Simba SC | Magoli | NMB Mapinduzi Cup 2026 - 05/01/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-05
Просмотров: 44630
Описание:
#NMBMapinduziCup2026: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Fufuni SC dhidi ya Simba SC.
Magoli ya Simba yamefungwa na Hussein Mbegu na Naby Camara.
Goli la Fufuni limefungwa na Mboni Steven.
FT: Fufuni SC 1-2 Simba SC.
#MapinduziCup2026 #FufuniSC #SimbaSC @nmbtanzania @mapinduzicup
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: