NGUVU ILIYOPO KWENYE KUSHIRIKI MEZA YA BWANA - Pastor - Sunbella Kyando
Автор: Reality of Christ Church
Загружено: 2021-04-21
Просмотров: 15622
Описание:
Kinacholeta mabadiliko kwenye maisha ya mtu siku zote ni ufunuo maana ufunuo ni ufunguo.Leo katika ibada hii Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando alitupitisha kwenye neno kuhusu siri iliyopo ndani ya mwili na damu ya Yesu,kadhalika sababu za Yesu kuumega mkate wakati akishiriki meza na wanafunzi wake.
Karibu ujifunze pia hili somo ambalo litabadilisha kabisa mtazamo wako juu ya mwili na damu ya Yesu.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...
#sunbellkyando #rocmedia #realitychurch
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: