DC MAGOTI ATEMA CHECHE MIGOGORO YA ARDHI HOMBOZA-KISARAWE
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-08-21
Просмотров: 335
Описание:
HOMBOZA, Kisarawe: SERIKALI inatarajia kufanya mkutano wa kliniki ya ardhi katika Kijiji cha Homboza \ kwa lengo la kushughulikia changamoto za wananchi kuhusu migogoro ya ardhi iliyodumu kwa muda mrefu.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amesema mkutano huo utafanyika Agosti 22 katika viwanja vya Homboza Palalee na Kichangani, Kata ya Msimbu, wilayani humo.
Ameeleza kuwa wataalamu wote wa ardhi watakuwepo kusikiliza na kutatua changamoto zinazohusu umilikaji na matumizi ya ardhi kwa wananchi wa maeneo hayo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: